Windows

VIDEO: TFF YAJA NA NENO DHIDI YA SIMBA NA YANGA


Shirikisho la soka nchini (TFF) limezungumza mchezo utakaowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi ya Februari 16 mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar.

Akizungumza na wanahabari Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema maandalizi yote yamekamilika na kuwataka mashabiki kujitahidi kununua tiketi mapema ili kuepusha usumbufu siku ya mwisho.


Post a Comment

0 Comments