Windows

Ratiba ligi kuu TPL mechi za leo 19 February 2019

Ligi kuu soka ya Tanzania bara itaendelea leo kwa mechi hizi kuchezwa katika miji ya Shinyanga, Arusha na Tanga.
Mwadui vs Biashara United
African Lyon vs Simba
Coastal Union vs Azam

Post a Comment

0 Comments