

Paul Scholes ameanza vizuri kazi yake ya ukocha baada ya kikosi chake cha Oldham kushinda kwa mabao 4-1 dhidi ya Yeovil.
Hiyo ilikuwa mechi ya kwanza ya Scholes, akiwa kocha katika benchi baada ya kuingia rasmi katika kazi hiyo.
Scholes ni kiungo nyota wa zamani wa Manchester United.










0 Comments