Windows

VIDEO: HAJI MANARA ATAJA MAAMUZI MAGUMU ALIYOWAHI KUMFANYIA BABA YAKE


Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ametoa wito kwa wasanii kutumia vizuri fursa wanazozipata huku akimtolea mfano mwanamuziki Diamond Platnumz ambaye kwa sasa ndiye anavuma sana na kumkumbusha kuwa ipo siku hatavuma tena kwahiyo ni vyema kutumia muda huu ipasavyo.

Aidha Manara amefunguka kuhusiana na kuwahi kumkatalia Baba yake kuingia uwanjani bure siku za nyuma.

Msikilize vizuri hapa


Post a Comment

0 Comments