Windows

Simba : Kikosi cha wachezaji 20 Kilichowafuata Al Ahly

Kikosi cha Simba Kimeifuata Al Ahly kwaajili ya mchezo wa 2 February 2019 huko mjini Alexandria, Jumla ya wachezaji 20 wamesafiri na Simba ambao ni.
MAKIPA
1-Aishi Manula
2-Deo Munishi Dida
WALINZI
3-Nicholas Gyan
4-Mohamed Hussein
5-Asante Kwasi
6-Pascal Wawa
7-Juuko Murshid
8-Paul Bukaba
VIUNGO
9-Jonas Mkude
10-James Kotei
11-Haruna Niyonzima
12-Hassan Dilunga
13-Mohamed Ibrahim
14-Clatous Chama
15-Shiza Kichuya
16-Rashid Juma
WASHAMBULIAJI
17-Adam Salamba
18-Meddie Kagere
19-Emmanuel Okwi
20-John Bocco

Post a Comment

0 Comments