Windows

Mtibwa Sugar yachapwa nyumbani

Timu ya Mtibwa Sugar imekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Lipuli FC katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye uwanja wa Manungu mkoani Morogoro.

Bao pekee la Lipuli FC lilifungwa na Seif Krihe katika dakika ya 80.

from MUUNGWANA BLOG

Post a Comment

0 Comments