Windows

Shırıka la kutengeneza magari yanayotumia umeme kupunguza maelfu ya wafanyakazi

Shirika la kutengeneza magari ya kutumia umeme la nchini Marekani Tesla, kupunguza wafanyakazi wapatao elfu 3.

Kwa mujibu wa taarifa ya BBC, ınasema mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa shirika hilo Elon Musk, aliwatumia ujumbe wa kielectronık wafanyakazi wa shirika hilo na kuwafahamisha kwamba magari yao wanayoyatengeneza bado ni ya gharama kubwa kwa watu walio wengi.

Musk alisema inabidi waje na teknolojia mpya ya kisasa itayokuwa ya beı nafuu kuwawezesha kupunguza gharama za uzalıshajı, Ila kwa sasa imewalazimu kupunguza asilimia 7 ya wafanyakazi.

from MUUNGWANA BLOG

Post a Comment

0 Comments