Windows

Matukio katika Picha: Rais Magufuli amepewa zawadi ya Mifugo na Wafugaji


Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wamefanya maandamano ya amani Mjini Babati Mkoa wa Manyara kumuunga mkono Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.











Post a Comment

0 Comments