KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema licha ya kutinga hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe la Shirikisho kikosi chake kina kazi kubwa kutafuta matokeo kwenye michezo inayofuata.
Lipuli wametinga hatua ya 16 bora baaada ya kushinda mbele ya Polisi Tanzania Uwanja wa Ushirika Moshi kwa ushindi wa penalti baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 na ilishinda kwa penalti 4-2.
"Uzoefu umetusaidia kupata matokeo, Polisi Tanzania ni timu bora na ndio maana unaoana ilikuwa ngumu kupata matokeo ndani ya dakika 90 ambazo pia zilichangiwa na ubovu wa miundombinu ikiwa ni pamoja na Uwanja.
"Bado tuna safari ndefu kutafuta mafanikio katika hatua yetu inayofuata nina imani tutafanya vema, wachezaji wana kazi ngumu mbele, mashabiki watupe sapoti," alisema Matola.

0 Comments