Windows

Kumshirikisha msanii ngoma sio kwamba unampenda - Lulu Diva


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lulu Diva alimaarufu Sexy lady  amedai kuwa kumshirikisha msanii ngoma sio kwa unampenda anaweza kukushirikisha ngoma kumbe nakutumia tu.

Lulu Diva amesema kuwa kitun kinachofanya watu wafanye ngoma pamoja ni Chemistry.

"Kumshirikisha mtu ngoma sio kwamba unampenda, mimi naweza kukushirikisha ngoma kumbe nakutumia tu kwenye ngoma yangu alafu basi au nakushirikisha ngoma kumbe menejimenti ndio inataka nifanye na wewe alafu tukafanya video tukawa hatuko karibu so kufanya nyimbo pamoja ni Chemistry," alisema Lulu Diva.

Post a Comment

0 Comments