Windows

Imethibitishwa; Simba SC wapo mbioni kumuuza Shiza Kichuya




Wekundu wa Msimbazi, Simba SC imethibisha kuwa muda wowote kuanzia sasa itamuuza mchezaji wake Shiza Kichuya.

Taarifa rasmi kuwa ndani ya timu hiyo imeeleza kuwa wapo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya Pharco ya nchini Misri kuhusu mchezaji Shiza Kichuya kwenda kujiunga na timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments