Windows

Barcelona yamsajili kiungo wa Ajax

Klabu ya Barcelona imethibitisha kumsajili kiungo wa klabu ya Ajax Frenkie De Jong kwa dau la  £65m na nyongeza ya £9m. 

Mchezaji huyo mwenye miaka 21amesaini mkataba miaka mitano na klabu hiyo ya Hispania na atajiunga nayo ifikapo tarehe 1 Julai ili aanze kuitumikia.

Post a Comment

0 Comments