Windows

Afcon 2021: Mabingwa watetezi waondolewa na Ivory Coast baada ya kushindwa 3-1

Mabingwa watetezi Algeria wametemwa katika kombe la mataifa ya Afrika kwa kichapo cha mabao 3 -1 dhidi ya Ivory Coast huko Douala.

Post a Comment

0 Comments