Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.12.2021:Alli, Pogba, Martial, Lingard, Milenkovic, Vlahovic, Castellanos

Newcastle wamefanya ufuatiliaji wa awali kuhusu Dele Alli, huku Tottenham wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa kiungo huyo wa kati mwenye umri wa miaka 25. (Teamtalk)

Post a Comment

0 Comments