Windows

Kauli ya Rais Samia inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

Mkutano ulioitishwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na wadau wa siasa unaendelea jijini Dodoma, Tanzania. Ulianza Jumatano, Desemba 15 na ulitarajiwa kudumu kwa siku tatu hadi Ijumaa Desemba 17, 2021.

Post a Comment

0 Comments