Windows

Ralf Rangnick: Jurgen Klopp asema nia ya Manchester United 'sio habari njema kwa timu nyingine'

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kwamba "kwa bahati mbaya mkufunzi mpya anakuja England " iwapo Manchester United inakubali kufanya mkataba na Ralf Rangnick.

Post a Comment

0 Comments