Windows

Paris Saint Germain imezindua rasmi kituo cha kufundishia soka kwa vijana nchini Rwanda

Mabingwa wa Ufaransa, timu ya Paris Saint Germain imezindua rasmi kituo cha kufundishia soka kwa vijana nchini Rwanda, ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya miaka 3 ya kibiashara na kuinua sekta ya utalii nchini Rwanda.

Post a Comment

0 Comments