Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi terehe 27.11.2021: Haaland, Dembele, Phillips, Lingard, Cavani, Pepe, Mitrovic

Klabu anayotaka kuhamia mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland iwapo ataondoka Borussia Dortmund mwaka ujao Real Madrid, inagawa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 bado hajafanya maamuzi kuhusu hali yake ya baadaye . (Goal)

Post a Comment

0 Comments