Real Madrid imeipatia Paris St-Germain hadi kufikia leo Jumapili iwe imekubali dau lao kwa ajili ya msambuliaji wao Kylian Mbappe, kwani klabu hiyo ya Uhispania haiko tayari kutoa ofa ya zaidi ya euro milioni 190 (£163m) kwa jili ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 22. (Le Parisien - in French
0 Comments