Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 28.08.2021:Mbappe, Richarlison, Haaland, Jesus, Cavani, Zouma, Witsel, Barkley

Paris St-Germain itajaribu kumsajili mshambuliaji wa Everton na Brazil Richarlison, 24, ikiwa watakubaliana kuhusu mpango wa kumuuza mshindi wa Kombe la Dunia wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, kwa Real Madrid

Post a Comment

0 Comments