Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 24.08.2021:Aubameyang, Kane, Saul, Rice, Kounde, Camavinga, Nketiah, Moore

Arsenal wako tayari kusikikiza ofa kwa ajili ya nahodha wake Pierre-Emerick Aubameyang, 32, na hawatamzuia iwapo mshambuliaji huyo wa Gabon iwapo atataka kuondoka kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili

Post a Comment

0 Comments