Windows

Kenya yaibuka mshindi wa ubingwa wa riadha duniani kwa wanamichezo walio chini ya miaka 20

Mafanikio yao kwenye mashindano hayo yalizidi matokeo waliosajili katika ubingwa wa mwaka wa 2000 huko Santiago, 2006 mjini Beijing na 2010 huko Moncton.

Post a Comment

0 Comments