Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 14.08.2021: Mbappe, Milenkovic, Odegaard, Aubameyang, Kane, Torres

Real Madrid wanajiandaa kuwasilisha dau la euro milioni 120 (£102m) kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe,22, kutoka Paris St-Germain msimu huu wa joto. (Cadena SER - in Spanish)

Post a Comment

0 Comments