Windows

Messi PSG: Fahamu jinsi Qatar itakavyonufaika na usajili wa nyota huyo

Usajili wa Messi ni nyongeza isiyo na shaka katika klabu ya PSG, ambayo tayari ilikuwa na timu kali ya wachezaji nyota kama Neymar, Kylian Mbappé, Ángel Di María, Sergio Ramos.

Post a Comment

0 Comments