Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 28.07.2021:Kounde, Zouma, Haaland, Grealish, Traore, Martinez, Pogba

Mabingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya, Chelsea wameanza mazungumzo na Sevilla kwa ajili ya kumnasa mlinzi wa kifaransa, Jules Kounde, 22 ambaye mkataba wake una kipengele cha ada ya £68.4m kwa atakayetaka kumsajili.

Post a Comment

0 Comments