Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamsi tarehe 29.07.2021:Pogba, Martinez, Bellerin, Bailey, Vlahovic, Haaland, El Ghazi

Paris St-Germain imeanza mazugumzo ya awali na Paul Pogba kuangalia kama anaweza kujiunga nao kutoka Manchester United msimu huu ama msimu ujao, wakati kiungo huyo mfaransa mwenye umri wa miaka 28, atakapokuwa mchezaji huru

Post a Comment

0 Comments