Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne tarehe 27.07.2021:Varane, Tuanzebe, Ronaldo, Ramsey, Lukaku, Shaqiri

Juventus wamemueleza Cristiano Ronaldo, 36 kwamba wanatarajia asalie klabuni hapo msimu huu. Mshambuliaji huyo mreno, amekuwa akihusishwa kutaka kutimka wakati huu ambapo mkataba wake ukisalia na mwaka mmoja kuisha.

Post a Comment

0 Comments