Windows

Australia Open: Naomi Osaka kumenyana na Jennifer Brady kwenyefainali baada ya kumchapa Serena Williams

Mjapani Naomi Osaka alipata ushindi mrua dhidi ya Serena Williams na kutinga fainali ya mashindano ya wazi ya Australia na kumaliza hamu ya Mmarekani huyo kuweka rekodi ya kunyakua taji la 24 la Grand Slam..

Post a Comment

0 Comments