Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi tarehe 13.02.2021: Sancho, Wijnaldum, Neuhaus, Balogun, Vieira, Costa, Gibbs

Liverpool wanajiandaa na kuondoka kwa kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, na wanamtaka mchezaji wa Borussia Monchengladbach Mjerumani Germany player Florian Neuhaus, 23, aje kukaba nafasi yake. (Kicker)

Post a Comment

0 Comments