Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 21.02,2020: Kane, Rodgers, Mourinho, Haaland, Toney

Mauricio Pochettino anataka kuungana tena na mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 27, Paris St-Germain endapo Kylian Mbappe au mchezaji nyota wa Brazil Neymar, 29, wataondoka klabu hiyo ya Ufaransa. (Sunday Mirror)

Post a Comment

0 Comments