Chelsea wanajiandaa kuvunja rekodi yao ya uhamisho kwa kumsaini mchezaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20, msimu huu, licha ya kipengele mchezaji huyo wa Norway kutoa kifungu cha thamini ya pauni milioni 66.6 ambacho hakita mruhusu kucheza hadi 2022. (The Athletic - subscription required)
0 Comments