Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 28.01.2021: Messi, Lingard, Pogba, Alli, Garcia, Yedlin, Tuchel

Paris St-Germain 'imekosa heshima' katika kusaka saini ya kiungo mchezeshaji wa Argentina Lionel Messi, 33, kulingana na rais wa Barcelona Joan Laporta, ambaye ametishia kuiripoti klabu hiyo ya Ligue 1 kwa Fifa. (Goal)

Post a Comment

0 Comments