Windows

Man United kuchuana dhidi ya Arsenal, Everton na Southampton baada ya kulazwa na Sheffield United

Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anasema kwamba hakutakua na majibu mengi licha ya timu hiyo kulazwa 2-1 nyumbani na klabu inayoshikilia mkia Sheffield United .

Post a Comment

0 Comments