Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 22.12.2020: Alaba, Stones, Salah, Gomez, Digne, Rojo, Jones

Beki wa Bayern Munich na Austria David Alaba amekataa kutia saini kandarasi mpya na mbingwa hao wa Ulaya na anaweza kuanza mazungumzo na klabu nyengine mwezi Januari.

Post a Comment

0 Comments