Meneja wa Arsenal Mikel Arteta amemuambia Mesut Ozil, 32, kuawa na miezi miwli tu ya kuthibitisha uwepo wake ndani ya klabu. Mjerumani huyo maarufu aliyeishindio Ujeruamani katika kombe la dunia hajaanda kuwachezea Gunners tangu tarehe 7 Machi (Express)
0 Comments