Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 12.20.2020: Aguero, King, Benrahma, Depay

Mkufunzi wa Inter Milan Antonio Conte ana mpango wa kuwasilisha ombi la kumsajili mshambuliaji wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero, 32, ambaye kandarasi yake inatarajiwa kukamilika mwisho wa msimu huu. (Calciomercato)

Post a Comment

0 Comments