Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 21.10.2020: Ozil, Solskjaer, Pereira, Griezmann, Burt

Mlinzi wa zamani wa Arsenal Per Mertesacker anasema kiungo wa kati wa Ujerumani Mesut Ozil mawazo yake yapo mbali mpira wa miguu - mchezaji huyo wa miaka 32 ameachwa kwenye kikosi cha Washika Bunduki cha Ligi Kuu ya siku ya Jumanne (Klick and Rush podcast via Mail)

Post a Comment

0 Comments