Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne tarehe 20.10.2020: Son, Ings, Sarri, Jones, Zabaleta, Dybala, Haaland

Tottenham wanajiandaa kumuongezea Son Heung-min mshahara hadi pauni 150,000 kwa wiki ili kumshawishi mshambuliaji huyo raia wa Korea Kusini mwenye umri wa miaka , 28, akubali kusaini kuongezwa kwa mkataba wake. (Mail)

Post a Comment

0 Comments