Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili tarehe 16.08.2020: Messi, Pochettino, Foster, Rice, Kean, Hendrick, Smalling

Manchester City wanaamini kuwa wako katika nafasi nzuri ya kusaini mkataba na Lionel Messi na kumuunganiosha na meneja wake wa zamani Pep Guardiola kama mchezaji huyo maarufu wa Argentina mwenye umri wa miaka 33 atondoka Barcelona. (Sunday Mirror)

Post a Comment

0 Comments