Windows

Yanga yaomboleza kifo cha Tigana



TANZIA

Uongozi wa klabu ya Yanga umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mchezaji wetu wa zamani Ally Yusuf ‘Tigana’ kilichotokea leo mchana.

Tigana aliwahi kuichezea Yanga kwa vipindi viwili aliingia mwaka 1994 -1995 baadae mwaka 2001-2004.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema Peponi.

Amina



Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI  kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments