Mshambuliaji mpya wa Yanga Tariq Seif Kiakala ameanza mazoezi na mabingwa hao wa kihistoria
Leo Tariq alikuwa sehemu ya wachezaji wa Yanga waliojifua uwanja wa Uhuru
Mkali huyo wa kuzifumania nyavu huenda akaanza majukumu ya kuitumikia Yanga Jumamosi kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United
Hata hivyo ataweza kupata nafasi hiyo kama usajili wake utaidhinishwa mapema na TFF
0 Comments