Klabu ya Simba haina mpango wa kufanya usajili mkubwa wakati wa dirisha dogo kutokana na bajeti iliyotengwa
Juzi katika Mkutano Mkuu wa Wananchama wa klabu ya Simba, Bajeti ya usajili dirisha dogo iliwekwa hadharani kuwa ni Tsh Milioni 76
Fedha hizo huenda zikatumika kusajili mchezaji mmoja wa kigeni, safu ya ushambuliaji inatajwa usajili huo utafanyika
Hata hivyo kwa kiasi hicho cha fedha, wachezaji wawili wazawa wanaweza kusajiliwa
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments