Windows

Droo ya raundi ya tatu ASFC kufanyika leo



Leo Jumatano saa nane mchana droo ya raundi ya tatu michuano ya kombe la FA (ASFC) itafanyika

Droo hiyo itahusisha timu 64 ambazo zitajumuisha timu za ligi kuu, ligi daraja la kwanza na washindi kutoka raundi ya pili





Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.

Post a Comment

0 Comments