Windows

Dirisha la usajili lafunguliwa, TFF yatahadharisha





Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo Disemba 16 2019 na litafungwa January 15 2020

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka vilabu kuzingatia kuwa hakutakuwa na muda wa zaidi baada ya dirisha la usajili kufungwa January 15 2020

Post a Comment

0 Comments