

Nahodha wa Simba John Bocco amerejea kutoka Afrika Kusini alikofanyiwa uchunguzi zaidi wa majeraha yanayomsumbua
Klabu ya Simba imethibitisha kuwa Bocco amerejea na ameanza mazoezi na wachezaji wengine leo
Hata hivyo mkongwe huyo atarejea rasmi kikosini Januari 2020 ukiwa ndio muda ambao wataalam hao wa Afrika Kusini wametarajia kuwa atakuwa yuko fiti
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.



0 Comments