Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Juma Balinya amewashukuru Wanayanga kwa kumpa nafasi kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria ingawa ni kwa muda mfupi
"Nashukuru Yanga, ninaondoka lakini ndio mpira. Natamani kurejea wakati mwingine, " ameandika Balinya kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram
Balinya anakuwa mchezaji wa pili kuondoka Yanga baada ya Sadney Urikhob
Uongozi wa Yanga umewaruhusu wachezaji hao wakatafute maisha mahali pengine baada ya kutoridhishwa na viwango vyao
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments