Windows

Yanga yaunda Kamati mpya ya Mashindano




Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla, imeunda Kamati mpya ya Mashindano

Aidha Kamati ya Utendaji imemteua ndugu Rodgers Gumbo ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Utendaji kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano

Wajumbe walioteuliwa kuunda Kamati ya Mashindano;

1. Eng. Hresi Said

2. Beda Tindwa

3. Thobias Lingalangala

4. Edward Urio

5. Max Komba

6. Salum Mkemi

7. Yossuphed Mhandeni

8. Yanga Makaga

9. Adonis Bitegeko

10. Eng. Heriel Mhulo

11. Eng. Issac Usaka

12. Eng. Deo Mutta

13. Hassan Hussein

Post a Comment

0 Comments