Windows

Yanga yaanza ujenzi Kigamboni




Klabu ya Yanga imeanza hatua za awali ujenzi wa viwanja katika eneo lake lililopo Kigamboni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Katika eneo hilo la ekari saba ambalo uongozi wa Yanga ulikabidhiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda mapema mwaka huu, ujenzi wa viwanja vitatu na Hostel za wachezaji wa Yanga zitajengwa



KUPATA HABARI HIZI PAKUA APP YA  SOKA KIGANJANI  

Post a Comment

0 Comments