

Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Uhuru tayari kwa safari ya mkoani Mwanza kuifuata Alliance Fc kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa Ijumaa, Novemba 29 2019
Picha na matukio mbalimbali ya mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Uhuru leo



0 Comments