

Baada ya mazoezi ya leo yaliyofanyika uwanja wa Uhuru, kikosi cha Yanga kitaondoka jijini Dar es salaam kesho Jumatano Alfajiri kuelekea mkoani Mwanza kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance Fc ambao utapigwa siku ya Ijumaa, Novemba 29 2019
Yanga itaondoka na msafara wa wachezaji 18 pamoja na viongozi sita wakiwemo wa benchi la ufundi



0 Comments